
WeekEnd Iliyopita Manager Wa Msanii Lady Zeyna, Blandina alisherehekea Siku yake ya kuzaliwa kwa bonge la Party lililofanyika nyumbani kwakwe Kinondoni Dar Es Salaam
Msanii Lady Zeyna Aliye Chini ya mrembo huyo Blandina kwa sasa anatamba na wimbo wake ‘Mwanaume kama capert’
Hizi ni baadhi ya Picha katika Party hiyo
