
Mama yake na North West kipenzi ya Kanye west amekuwa mpole sana tangu ajifungue mtoto wake wa kwanza hivi karibuni, hakuonekana sana lakini kwa sasa wazazi hao wamekuwa na safari ya mapumziko katika jiji la Paris chini Ufaransa huku Kim akionekana katika muonekano wa tofauti aliobadilisha nywele zake kwa rangi ya Gold(Blond)
Hata hivyo cha kushangaza hawajaonekana na kichanga North katika mapumziko yao, ni mataraji kipo chini ya uangalizi wa Bibi Chris ambaye ni mama Wa Kim Kardashian.
Kwa jinsi Kim anavyopenda tention katika vyombo vya habari tulitegemea tungeonyeshwa kichanga siku ya kwanza tu baada ya kuzaliwa kama si kuonyeshwa kabisa tukio la kujifungu lakini imekua ndivyo sivyo moaka wakati huu hakuna Paparatzi aliyefanikiwa kupata picha ya mtoto huyo
Bado hatujajua ni lini wazazi hawa wataamua kum release star huyo mpya North West kwenye ulimwengu kwa kutumia Vyombo vya habari
