Msanii wa Bongo Movie Elizabeth Michael aka Lulu hatimae amezindua ile Movie yake inayokwenda kwa jina la “FoolishAge” Mlimani city Jana ijumaa 30,08,2013 uzinduzi huo ulisindikizwa na Burudani toka kwa Barnaba Boy, Amini na Legendary Lady Jay Dee aka Anakonda ambapo Lulu alimtaja kama mtu aliye mu inspire suprise ni pale Lulu alipoimba wimbo wa Lady Jay Dee “Yahaya” live na Band bila kutoka nje ya Key.. In Maddam Rita’s Voice pamoja na wananchi na washabiki wengi wa Lulu kujitokeza kumpa support lakini pia wasanii wenzake wengi kutoka bongo movie walikuwepo akiwemo Wema Sepetu ambaye kama kawaida hakosi mbwembwe awapo eneo la tukio… Movie ipo sokoni kwa anayehitaji “Foolish Age”
3 Comments
ndugu ingekuwa vizuri japo unGekuwa unatoa maelezo ya pics. mAna kuna sehrmu mama analia hatUelewi ninini. picha huwa zinaPendeza na maelezo
Caption is very important
Nampenda sana natamani hataniki moja nimuone