Wiki kadhaa zilizopita paliibuka mwanakaka Mmarekani aliyetajwa kuwa ndio handsome kuliko wote duniani kwa wakati huo Aliyefahaminika kwa jina la Felon Jeremy Meeks Baada ya kisa chake cha kuwa mwanamme muhalifu handsome aliyezua gumzo mtandaoni
Kwasasa Felon hana deal tena baada ya kijana mwingine mwanamitindo mswidish kuibuka na kuanza kuzua gumzo kuwa yeye ndo mkali kwa sasa kwa u handsome duniani
Anaitwa Ben Dahlhaus ndio anayetajwa kuwa mwanaume anayevutia zaidi Dunia kwa sasa, Wanawake wengi wameonyesha nia ya kutaka kuonana nae baada ya tangazo lake jipya kuonekana
Ben’s ad campaign for luxury watchmaker Brathwait Tangazo ambalo baada ya kuonekana kimataifa watu wengi sasa wamemuandika katika Articals zao kwa jinsi anavyoonekana wa kipekee kuanzia kimtazamo mpaka aina ya nywele zake na structure ya uso wake
Wataalam Wa mambo ya Fashion wanasema akinuna anapendeza zaidi