
Kama tunavyofahamu Muwakilishi wa Tanzania Miss Brigitte Alfred Yupo nchini Indonesia katika kambi ya Miss World kwa ajili ya maandalizi ya mashindano hayo yanayotarajiwa kufanyika september 28 mwaka huu.
Brigitte amekua akitupia picha za matukio mbalimbali wakiwa katika kambi hiyo ya Miss World 2013 Kupitia mtandao wake wa Instagram
waweza tazama Picha hizo hapa

kutoka kushoto miss Switzerland,Slovakia,Turkey,Vietnam,CzechRep,Trinidad,Tanzania na Tabago wakiwa wanaelekea kupata chakula cha usiku

Miss Tanzania aliyekaa katikati akiwa na warembo wenzie kutoka nchi mbalimbali wakati wa kupata kifungua kinywa

hapa ni warembo wa Nicaragua,Slovakia,Vietnam, Hondura and Czech Rep hili ndio group 3 ambalo mrembo wetu yupo

Hii ni picha ya jana tu wakati wa ufunguzi Rasmi wa mashindano hayo Ambapo mrembo wetu anaonekana kwa nyuma akiwa na vazi la mbunifu kutoka Tanzania Eve Collection

2 Comments
ana shine kuwazid wote na mavaz yake n mazur sana tu
she is short compared to other contestants