Hivi ndivyo Tamasha la DIAMONDS WORLD TOUR la Rihanna Lilivyofana kule Jo’Burg South Africa Jumapili ya week End Iliyopita.
Tamasha hilo limetajwa kati ya matamasha makubwa kuwahi kutokea katika Historia ya muziki na kwa mwanamuziki mdogo kama Rihanna Ku perform mbele ya ya watu Elfu 67’000 katika uwanja wa mpira huko Johannes Burg Africa ya kusini.
Huo ni mwanzo au muendelezo wa Tour yake hiyo aliyoipa jina la Diamond Tour
Pamoja na kufanya show hiyo matata lakini pia alifurahia mandhari nzuri ya Jiji la J’burg kwa kutembelea wanyama na kupiga nao picha viumbe wa bahari lakini pia alionekana akiwa na Familia yake kwa maana ya mama yake na Ndugu zake
PICHA ZA RIHANNA AKIWA AFRIKA KUSINI