Mwanamuziki Wa Nchini Nigeria Tiwa Savage Anayetamba na vibao vingi kikiwemo Eminado alichofanya na Don Jazzy amefanya harusi kubwa na Mumewe Tunji Teebillz Balogun’s aka T-billz katika hotel ya Armani Hotel, Burj Khalifa, Dubai jana
Sherehe iliyoandaliwa na kampuni ya kuandaa sherehe ya Prive Events – Elohor Aisien Huku Bibi Harusi Akiwa amevalia nguo iliyobuniwa na mwanamitindo Vera Wang huku bwana harusi na msimamizi wake wakiwa wamemvaa Mai Atafo.
Hata Hivyo Mwanamuziki Huyo Alipendezeshwa zaidi katika upande wa Makeup na Joyce Jacob Beauty huku upande wa nywele Debola Falana walimtendea haki
Harusi Hiyi ilihudhuriwa Iliyohudhuriwa na mastaa mbali mbali kutoka katika Industry tofauti tofauti pamoja na marafiki wa karibu kabisa wa Tiwa akiwemo Mrembo kutoka Tanzania wa mwaka 2001 Millen Happiness Magesa ambaye kw sasa anafanya shughuli zake za kiuanamitindo Nchini Marekani
Tazama Pich hapa