
Yeah Ni ngoma Yao mpya na hapa wakiwa katika utengenezaji wa Video Na Rapper TI huko Atlanta Nchini Marekani
Huu Ni ujio wa Albam Yao ya ya sita kama Moja wa mapacha hao alivyoandika katika post zake mtandaoni
#6thalbum #Freshsound #Freshstyle we r on it again! #teampsquare
