KAMPUNI YA VIFAA VYA UMEME YA JAPAN, PANASONIC, IMEZINDUA AINA MPYA YA VIFAA VYA UMEME KWENYE SOKO LA TANZANIA.
VIFAA HIVYO NI PAMOJA NA SWITCH, SOCKET BRAKER, FAN ZA UKUTANI NA MEZANI.
UZINDUZI HUO ULIFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM NA KUHUDHURIWA NA WATU MBALIMBALI KUTOKA TAASISI NA MASHIRIKA BINAFSI NA YA UMMA.
WAZIRI WA VIWANDA BIASHARA NA MASOKO DK ABDALAH KIGODA NDIYE ALIYEKUWA MGENI RASMI KATIKA HAFLA HIYO AMBAYO PIA ILIHUDHURIWA NA WATENDAJI WAKUU WA KAMPUNI YA PANASONIC KATIKA UKANDA WA MASHARIKI YA KATI NA AFRIKA
Waziri Wa Viwanda Biashara Na Masoko Abdallaha Kigoda Kwa Pamoja Na Watendaji Wakuu Wa Panasonic  Wakizindua Rasmi Vifaa Hivyo
Wageni Waalikwa Wafanyabiashara wakifuatilia kwa makini maelezo ya ubora Wa vifaa Vya Panasonic