
Wanahabari Wasanii na wananchi kwa ujumla jana wameuwaga mwili wa marehemu aliyewahi kuwa muongozaji wa vipindi vya Television na Filamu nchini Tanzania George Tyson katika viwanja Vya Leaders Jijini Dar Es Salaam
Marehemu George Tyson Alifariki Dunia kwa ajali ya gari iliyotokea mkoani morogoro may 30 wakati anatokea Dodoma Kikazi
Mwili Wa Marehemu unatarajia kusafirishwa leo kwenda Kisumu nchini Kenya kwa ajili ya mazishi yanayotarajiwa kufanyika Jumamosi ya tarehe 14 May Kijijini Kwao
George Otieno Okumu alizaliwa tarehe 21, March,1973
Na Kufariki Tarehe 30,May,2014
Ameacha mjane Na Watoto Watatu
Sisi Sote Ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea
picha
mkuu Wa Mkoa Wa Dar Es Salaam Meck Sadiki Akitoa Pole Kwa Wafiwa
Aliyewahi Kuwa Mke Wa Marehemu George Tyson Yvon Cherry Au Mwanalisa Na mtoto Wa marehemu
Mboni masimba akilia kwa uchungu
Mkuu Wa Mkoa Wa Dar Es Salaam Meck Sadik Akitoa Salaam Za RambiRambi
Raisi Wa Shirikisho La Filamu Tanzania, Mwakifamba akizungumza machache pembeni anayesikiliza kwa makini ni Mh. Jeri Slaa
Mh.Jerry Slaa sambamba na muwakilishi toka basata
Mchungaji akitoa neno
Huyu Dada Aliimba Vizuri Sana
