Khadija kushoto akiwa na Ally Remtula na Rafiki
Mbunifu wa Mavazi Khadija Mwanamboka (kushoto) ambaye pia ndio Mwandaaji wa Bongo Black Ball Party iliyobeba Theme ” Celebrating Tanzania Music” wakati wa uzinduzi wa Kampuni ya Vitu vya Khadija Events & Clothing akiwa na wadau mbalimbali kwenye mnuso wa nguvu uliowakutanisha Masupastaa wa Bongo wadau waliopo kwenye Fashion Industry katika usiku uliopambwa na msanii Mkongwe wa muziki nchini King Kiki a.k.a mzee wa kitambaa cheupe pamoja na burudani kutoka kwa wasanii wa Bongo Flava Linex na Mwasiti
Elgyver na Mimi
Blogger M.P
Mdada alipendeza sana
Kwa nyuma
picha zaidi zama humu www.dewjiblog.com
Picha hisani ya Mo Blog