Kwa mara nyingine Tanzania imeendelea kufanya vizuri, kama unakumbuka wikiendi iliyopita Mtanzania mwanamasumbwi nchini Francis Cheka alishinda pambano la kimataifa na kubakiza mkanda nchini.
Wikiendi hii tena tumeshudia Watanzania wakiendelea kuipa nchi heshima katika sekta ya sanaa, baada ya kushuhudia muigizaji Lulu akishinda tuzo ya kimaifa ya “Best Movie East” na movie yake ya “Mapenzi” na Single Mtambalike amechukua tuzo ya “Best Indigenous Language Movie/TV Series Swahili kupitia movie ya Kitendawili.
Africa Magic Viewers Awards 2016, zimefanyika Machi 5/2016 huko Lagos Nigeria na katika wasanii waliopiga show usiku huo ni Mtanzania Alikiba.
Hii ni full list ya washindi wa Africa Magic Viewer’s Choice Awards 2016
BEST ART DIRECTOR (MOVIE/TV SERIES)
The refugees – Frank Raja Arase
BEST TELEVISION SERIES
Daddy’s Girls – Ariyike Oladipo
BEST MAKEUP ARTIST (MOVIE/TV SERIES)
Ayanda – Louiza Calore
BEST SHORT FILM
A day with death – Oluseyi Amuwa
BEST WRITER (MOVIE AND TV SERIES)
Ayanda – Trish Malone
BEST LIGHTING/DESIGN
Common Man- Stanley Ohikhuare
BEST CINEMATOGRAPHY
Tell me sweet something- Paul Michaelson
BEST SOUND EDITING
Marquex Jose Guillermo
BEST PICTURE EDITING
Rebecca- Shirley Frimpong-Manso
BEST COSTUMING
Uche Nancy- Dry
BEST INDIGENOUS LANGUAGE MOVIE (SWAHILI)
Kitendawali- Single Mtambalike
BEST INDIGENOUS LANGUAGE MOVIE (HAUSA)
Dadin Kowa- Salisu Balarabe
BEST INDIGENOUS LANGUAGE MOVIE (YORUBA)
Binta Ofege – Abiodun Jimoh and Jumoke Odetola
BEST INDIGENOUS LANGUAGE MOVIE (IGBO)
Usekwu Igbo- Paul Igwe
BEST DOCUMENTARY
Faaji Agba- Remi Vaughan Richards
BEST SUPPORTING ACTOR
A soldier’s story- Sambassa Nzeribe
BEST SUPPORTING ACTRESS
Before 30- Tunbosun Aiyedhin
BEST ACTOR IN A COMEDY
Jenifa’s Diary- Folarin Falana
BEST ACTRESS IN A COMEDY
Jenifa’s Diary- Funke Akindele
TRAILBLAZER AWARD
Kemi Lala-Akindoju
INDUSTRY MERIT AWARD
Sadiq Daba
Bukky Ajayi
BEST MOVIE- SOUTHERN AFRICA
JOYCE MHANGO CHAIGUALA
BEST MOVIE- EASTERN AFRICA
Mapenzi- Elizabeth Michael
BEST MOVIE- WESTERN AFRICA
Chinny Onwugbenu, Chichi Nwoko and Genevieve Nnaji – Road to Yesterday
BEST ACTRESS IN A DRAMA
Falling- Adesua Etomi
BEST ACTOR IN A DRAMA
A Soldier’s Story- Daniel K. Daniel
BEST DIRECTOR
Tell me Sweet Something- Akin Omotosho
BEST OVERALL MOVIE
Dry- Stephanie Linus