Miss Tanzania wa Mwaka 2000 Jacqueline Ntuyabaliwe (K-Lyn) Leo Anasherehekea Mwaka mmoja wa Kuzaliwa watoto wake Mapacha wa kiume Jay & Ry kwa mujibu wake mwenyewe kupitia ukurasa wake wa Instagram
Jacqueline amepost picha mbali mbali katika mtandao wake huo tangu maandalizi mpaka siku ya leo ambapo ndio kumbukumbu ya kuzaliwa watitowake hao
jacq amepost Picha inayomuonyesha akiwa na baba watoto wake Bw. Regnald Mengi Ambaye ni Mwenyekiti Wa Makampuni Ya IPP Media Pamoja Na watoto wao wakisherehekea siku hiyo kubwa kwa watoto wao na wao pia
“Jay &Ry’S 1st Birthday Bash ” ndivyo alivyoandika Jacq katika Post Hiyo
Happy Birthday Jay & Ry