Tazama Picha jinsi Msanii wa kike Wa Marekani Rihanna alivyoamua kucheza kama wacheza uchi katika kumbe za starehe za usiku katika video yake ya ya Pour It up.
Rihanna ameweka picha hizi katika mtandao wake wa InstaGram huku ajipost jumbe zinazoonyesha yupo mazoezini akijifunza na kuonyesha kama anafanikiwa kujua mchezo huo ambao alionekana mwanadada ambaye ndio shughuli zake akimfundisha.
Tazama picha