
Hivi Ndivyo Mazishi Ya Kijana Wa Kimarekani mwenye asili ya Afrika Michael Brown 18 Yalivyofanyika,
Kijana Huyo aliyepigwa Risasi na polisi mzungu Darren Wilson na kufariki Dunia aug 9, na amezikwa aug 25 kwenye makaburi ya Kanisa la Missionary Baptist huko St Louis, Missouri.
Mamia ya wamarekani weusi kutoka Missouri na marekani yote walishiriki mazishi hayo ya kusikitisha ikiwa ni pamoja na Al Sharpton na Rev Jesse Jackson ambao walijitokeza katika mazishi hayo
