Ni maumivu na haamini kabisa mfalme wa bling bling akiwa anasikitika baada ya kifo cha ghafla cha Fidel Odinga kaka yake Prezzo kama alivyomuita mtoto huyo wa waziri wa zamani wa Kenya Raila Odinga wikiendi iliyoisha.
Anga jeusi lilitanda katika taifa la Kenya Jumapili baada ya kutangazwa habari za kifo hicho cha ghafla, imekuwa ni uchungu mkubwa kwa Prezzo ambae ni msanii maarufu kutoka nchini Kenya.
Prezzo na Fidel walikuwa marafiki wakubwa wa karibu, kifo hicho cha ghafla cha Fidel kimemshtua sana msanii huyo, kwa hisia kali Prezzo alimuelezea Fidel kuwa alikuwa ni mtu mwenye roho nzuri, mpole na moyo wa tofauti.
Hii inamaana kwamba Fidel alikuwa karibu sana na watu wakiwemo wasanii, siku ya jana AY nae alituma salamu za rambi rambi. Fidel atazikwa siku ya Jumamosi 10 Januari 2015 katika eneo la baba yake huko Bondo nchini Kenya.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Prezzo Ni Kati Ya Msanii Aliyeumizwa Sana Na Kifo Cha Brother Wake Fidel Odinga
Related Posts
-
-
Beef Ya Meek Mill Na Drake Yachukua Sura Mpya, Fueled By Grammy
-
Picha Za Wanamitindo Zilizokera Watu Baada Ya Kuonyesha Tukio La Kubakwa
-
Jamaa Wa Miaka 28 Aoa Mtoto Wa Miaka 10!
-
Chinua Achebe Kuzikwa Leo/ Fahamu Historia Yake Kwa Ufupi
-
Picha:Kim Kardashian Ashare Zawadi Za Mtoto Wake North West Aliyezaa na Kanye West
-
Chama Tawala Cha Mugabe ZANU-PF Chazisaka Pesa Za Birthday Ya Mwenyekiti Wake Rais Mugabe