Ni maumivu na haamini kabisa mfalme wa bling bling akiwa anasikitika baada ya kifo cha ghafla cha Fidel Odinga kaka yake Prezzo kama alivyomuita mtoto huyo wa waziri wa zamani wa Kenya Raila Odinga wikiendi iliyoisha.
Anga jeusi lilitanda katika taifa la Kenya Jumapili baada ya kutangazwa habari za kifo hicho cha ghafla, imekuwa ni uchungu mkubwa kwa Prezzo ambae ni msanii maarufu kutoka nchini Kenya.
Prezzo na Fidel walikuwa marafiki wakubwa wa karibu, kifo hicho cha ghafla cha Fidel kimemshtua sana msanii huyo, kwa hisia kali Prezzo alimuelezea Fidel kuwa alikuwa ni mtu mwenye roho nzuri, mpole na moyo wa tofauti.
Hii inamaana kwamba Fidel alikuwa karibu sana na watu wakiwemo wasanii, siku ya jana AY nae alituma salamu za rambi rambi. Fidel atazikwa siku ya Jumamosi 10 Januari 2015 katika eneo la baba yake huko Bondo nchini Kenya.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Prezzo Ni Kati Ya Msanii Aliyeumizwa Sana Na Kifo Cha Brother Wake Fidel Odinga
Related Posts
-
-
Rihanna Kawa Muislam??? Aonekana Msikitini Huko Abu Dhabi .
-
Huyu ndio mkimbiaji wa Kenya aliyezirai kati kati ya mbio katika uwanja wa Olympic
-
Mkurugenzi Wa Apple Tim Cook Atangaza Kuwa Yeye Ni SHoga
-
Vikongwe Hawa Kutoka Marekani Wawa Binadamu wengine Watajwa Kudumu Zaidi kwenye Ndoa
-
Kanye West Atajwa Na GQ Most Man Wa 2015
-
TANZANIA NI MIONGONI MWA NCHI TATU AMBAZO RAIS OBAMA WA MAREKANI ATAZETEMBELEA MWEZI JUNE