Ni baada ya Q chilla kutofanya show kwa miaka mitano on stage sasa anakuja mwanza kuwapatia raha mashabiki wake kwa ngoma zakezote kali zilizo hit na zinazo hit by now
akipewa back up na Malkia wa miduara TZ Shilole ni pale joint mpyaa Club Fusion Mwanza
tar 31 sunday EASTER mwanza get ready to be intertained.