Wiki Moja bada Ya Rapper 50 cent kulaumiwa kwa kutohudhuria Sherehe Za Mahalafali Ya Kuhitimu masomo ya high School ya kijana wake Rapper Huyo Amezungumza
50Cent amesems yote yasingetokea kama si mama wa mtoto wake kupeleka habari hizo katika mtanzao wa TMZ
Hata hivyo Rapper Huyo Amesema anasababu za muhimu sana ambazo zilimfanya asihudhurie Mahafali ya mwanae nayo ni kuwepo kwenye majukumu ya kazi ya kwa wakati huo huo ambbao mahafali yalikua yanaendelea
50Cent aliyasema hayo alipoonekana katika kipindi cha BET 106 AND park
Hatanhivyo Rapper Huyo ametumia muda huo kumtaka mwanamke huyo ambaye ni mama wa mtoto ake aachana naye na atafute mtu mwingine kwa ajili yake .
kwani anachokiona hapo ni mama kutumia mtoto kutafuta kick au kumuharibia for my opinion
In an appearance on BET’s 106 and Park yesterday, 50 Cent explains;
“My son — I haven’t received an invitation. When he graduated, I was Budapest on a movie with Melissa McCarthy, Jude Law, and Jason Statham. I think, at some point, the reason why it actually comes out is because his mom is going to TMZ. I wish she’d find someone so she could leave me alone.”