Mwanamuziki Ray J Na Mdogo Wa Mwanamuziki Brand ameuambia mtandao wa TMZ kuwa zawadi anayotarajia kumpa aliyewahi kuwa mpenzi Wake Kim Kardashia katika Harusi Yake Na Mwana hip Hop Kanye West Ni Faida ya pesa kiasi cha dola 46.840 kama faida ya mauzo yaliopatikana katika mkanda wao wa ngono waliowahi kufanya mwaka 2007
Ray Amesema Atampatia Kim Check ya kiasi hicho cha pesa na anamategemoa atafurahia kama zawadi siku ya harusi yake kwasababu tape hiyo imeendelea kufanya mauzo tangu kutoka kwakwe na faida hii ni ya miezi minne tangu mwaka 2014 uanze
Hata Hivyo Kim Kardashian Hajazungumza lolote mpaka sasa tangu Ray Atangaze Zawadi Hiyo
Lakini Ray Amesemsa kama Kim atazikataa pesa hizo basi atazitoa kwenye Charity yeyote aipendayo
According To Ray Haya Ndio Mauzo yalivyokua katika kipindi cha miezi mi nne Iliyopita
— January $6,135.60
— February $20,097.31
— March $9,674.76
— April $10,931.52
— TOTAL: $46,840.13