
PPicha katika pozi mbali mbali wakati wa onyesho la mavazi la Mbunifu mkubwa Tanzania Ally Remtula lililofanyika katika hotel ya SSerena siku ya jumamosi Usiku na kuhudhuriwa na watu mashuhuri, mastar mbali mbali pamoja na wafanya biashara wakubwa ikiwa ni utambulisho wa cloth line ya Ally Remtulla kwa mwaka 2004
