
Noana Kwa sasa Binti Rihanna Ameamua Kugonga Matokea mbali mbali ya majarida makubwa Duniani
Mara Hii Rihanna Yupo kwenye cover ya jarida la Ufaransa la Lui
Picha Za Jarida hilo zilichukuliwa na Mario Sorrenti mwanzoni mwa mwezi huu wa Nne Huko Los Angeles
Kwa Picha zaidi waweza ziona kupitia Account Ya Rihanna Ya Instagram Rihanna’s instagram
