
‘My lil homie made a million on his girl tour” anasikika Rozay anarap, sehemu ya ngoma yake inayoitwa “color money” kutoka katika albamu yake ya “Black Market” ilivuja wiki hii , katika ngoma hiyo ya color money,MMG boss Rozay amechukua mashahiri ya Drake akimdiss Meek Mill katika ngoma ya Back to Back.
“My lil homie made a million on his girl tour / We back to back and down to whack a nigga unborn / Miami niggas got them changing all the gun laws / So run Forrest got some shooters and they dying too / I got more money than that pussy that you’re signed to,” Rozay anarap .
Drake ni msanii chini ya lebo ya Lil Wayne ya Young Money Entertainment , kwenye ngoma yake ya “Back to Back” Drake alimtaka Meek Mill aimbe wa kwanza kufungua show kwenye tour ya Nick Minaj ya “Pinkprint Tour” .
“You love her, then you gotta give the world to her / Is that a world tour or your girl’s tour? / I know you gotta be a thug for her / This ain’t what she meant when she told you to open up more,” Drake anarap.
Rick Ross anamdiss tena Drake kwenye “0 – 100” na mwisho wa ngoma Rozay anamchana na P.Diddy anasema “Double M, we balling way harder than Puff and them / It ain’t no love lost, I only see one boss,”.
Diddy alikuwa ni producer aliyeshiriki kutengeneza albamu ya Rick Ross “Mastermind” mwaka jana.
Albamu mpya Rick Ross ya “Black Market” inatoka rasmi kesho Desemba 4, yoooote hayo yameanza kutoka ili kuleta attention zaidi, hapo mashabiki wa Drake,Lil Wayne na P.Diddy agrriiiiih! But it is plan nothing personal…..my opinion though…
