Rihanna hajawahi kumpenda Rita na amekuwa akitumia nguvu yake aliyonayo ndani ya Roc Nation, hii ni sababu kubwa lebo ya Roc Nation haikuwa haikuweka kabisa mkazo katika kupromoti Rita, chanzo cha stori hii kiliiambia The Sun.
Nyimbo ambazo labda alitakiwa apewe yeye akapewa Rihanna, ambazo saa nyingine alikaa nazo hata miezi ndio anaamua hazitaki tena, Ukweli ni kwamba mpenzi wa zamani wa Rita, Calvin Harris kuwa kwenye daftari uongozi haikusaidia.
Chanzo hicho pia kilisema “lebo hiyo haikumzuia Dj milionea pale aliporipotiwa kumkataza kutumia nyimbo zake alizozitengeneza yeye kwa ajili ya albamu yake kufuatia kuachana kwao.
Wakati Rita aliposaini Roc Nation na viongozi wa juu walikuwa wakijihusisha kwa karibu na usanii wake.Kuvutiwa kwa Roc Nation zaidi , kulikuwa na rasilimali zilizopatikana na kampuni ilikuwa imepata shida kuzungukia milango ya viongozi wa kampuni.Rita aliendelea kusupport lebo na aliendelea kujihusisha na shughuli za kampuni, ikafika sehemu akawa hana na mahusiano na yeyote kwenye kampuni” Kilieleza chanzo hico.