Pamoja na kusemwa sana hata kufikia kufungiwa na mtandao wa Instagram kwa ukaaji wake uchi uchi kabla hajarusishwa tena mtandaoni hivi karibuni baada ya miezi sita hajakoma kukaa uchi na hii inadhhirisha kuwa yeye ndio bidhaa ni walimwengu ndio wahitaji kwa vyovyote vile mtamtafuta tu lol
Huyu hapa kwa mara nyingine tena akiwa ameanika nyeti zake nje nje katika uchukuaji wa picha za jarida la Esquire magazine UK la mwezi Decembert
Huwezi mzuia Rihanna kwa anachokipenda ambacho ni kukaa uchi zaidi