Kwa Rihanna tunaweza mvumilia kwasababu ya umri japo nae anajitoa tu akili maana hata hana umri mdogo wa hivyo(follishage) lakini pia labda twaweza sema anajifanya hajali baada ya kusemwa sana hadi kufikia hatua ya kuonywa na kuondolewa katika mtandao wa instagram kwa kupost picha zinazomuonyesha chuchu zake, picha zilizotumika katika jarida la lui la Nchini Ufaransa
tukija upande wa huyu mama mtoto vipi eeh? haoni wakati umemtupa mkono? si haba kuna kinacho m stress maana kwa mavazi haya si yake hata kidogo
sasa ndo najiuliza huwa Huyu dada Bey hataki kupitwa na wakati au ndo anaona kama toto ririi anamkimbiza kiasi anaona waende sawa?
Watazame hapa katika party moja huko kwao iliyokwenda kwa jina la Met Gala After Party
Rihanna alivalia nguo iliyomuonyesha mstari wa makalio yake ulipoanzia huku kifuani na mtindo wa nguo ukimuonyesha akiwa hajavalia brazia kama kawaida yake, ni kama tu alikua kajitupia kitambaa mwilini mwake kilichokua hakitoshi kufunika baadhi ya maungo yake muhimu huku naye dada Beyonce akiwa kavalia gauni transparent iliyomuonyesha mwanzo wa makalio yake yalipoanzia
Sanaa na chanagamoto zake
Jionee: