Future na Blac Chyna wamekuwa katika uvumi mkubwa kwamba wanamahusiano ya kimapenzi, hilo linabaki bado likituacha dilema, ingawa video mpya inapigilia msumari kwamba wanaweza wakawa kweli ni wapenzi kwa maana mmmh! on the video zile ish! zinazoendelea wacha kabisa ni ngoma ya Future inaitwa Rich Sex.
Future hakusema chochote kuhusu msichana aliyemtumia kwenye video hiyo as vixen.
Let,s wait and see penzi ni kikohozi kulificha siliwezi……Check the video by yourself…