
Uvumi umekuwa ukienea kwamba Future na Rihanna kwa sasa kama kuna kakitu kanaendelea, lakini ni noma kwa sababu Blind Item ianripoti party nyingine inaweza kumuhusisha Keysha Cole.
Mahusiano ya Future yalianza kwa kick kubwa sana, walionekana wapenzi waliopendana, wote wakiwa wanafanya vizuri katika muziki, wakapendana na wakavalishana pete, hata hakukuwa na umuhimu wa pete almasi ambayo Future alisaidia kuidizaini ikiwa ni ishara ya kuonyesha kila mmoja alimzimia mwenzake na kutangaza furaha yao kila mahali.Oh hell no!!
Alikuwa ameshatembea na kuwakusanya wanawake wengi, lakini na yote hayo hakuonekana kusettle na mwanamke mmoja, katika miezi sita tu iliyopita alishamdanganya Ciara na wanawake wawili na wanawake hao wote na maarufu
Mpenzi namba 1 huenda anajulikana sana kwa sasa, alifanya kazi na mpenzi wake, na kulikuwa na maneno kwamba wawili hao walikuwa karibu sana. Lakini Ciara alipuuzia uvumi huo kama ni umbeya lakini baadae akagundua kwamba uvumi ulikuwa ni wa kweli alishikwa na hasira kweli.
Lakini mpenzi wake alifanikiwa kumshawishi kwamba kulikuwa hakuna kitu ila ni washkaji tu wa kawaida na hilo likaisha. Baada ya hapo wakafanya ngoma pamoja miaka michache iliyopita. Hakuna kilichotokea hapo, lakini baada ya Future kuwa engaged, lakini Mistress namba 2 ghafla wakawa karibu,na hii haikuwa usiku mmoja tu,ilikuwa good time na mambo yaliendelea, Bibi harusi Ciara hakugundua dalili yeyote kuhusu Mistress namba 2, na hapo hakuna nafasi yeyote kwamba Bwana harusi angesema kuna kitu kinaendelea.
Rihanna na Future walishafanya ngoma na Rihanna ngoma inayoitwa Loveeee ngoma inayopatikana katika albamu ya Rihanna Unapolegitic, ukiisikiliza wanavyoambiana alafu useme ni muziki tu ikaja ikawa ukweli they did it!! Mmmh mpaka ikanjangia kuvunjika kwa ndoa ya Ciara.
Bwana harusi mtarajiwa Future
Bibi harusi mtarajiwa Ciara
Mistress 1:
Mistress 2:
DALILI kwenye Twitter!
DALILI NYINGINE: Mistress 1 hana mtu. Mistress 2 ameolewa. Hii ingeweza kuvunja ndoa ya Mistress 2.
DALILI: Mwanamke mmoja kati ya hawa alikuwa anamimba wakati mahusiano haya yakiendelea
YALIMALIZWA
August 13, 2014
Bibi harusi mtarajiwa: Ciara
Bwana harusi mtarajiwa Future
Mistress 1: Rihanna
Mistress 2: Keysha Cole
Hatukushangazwa baada ya kutangazwa kwamba Future na Ciara wameachana, taarifa zilieleza kwamba Future alikuwa akicheat, Blind Gossip zilikueleza kuhusu taarifa hizi miezi miwili iliyopita.
Wakati Ciara anamimba ya mtoto wa Future Zahir, Future alikuwa akiscrew around na Rihanna na Keysha Cole na Keysha Cole .
Ciara alijifungua mtoto miezi mitatu iliyopita, lakini hapo ndoa ilikuwa ishavunjika na waliochangia ivunjike rumors has it kwamba ni Rihanna na Keysha Cole…Bad gal single gal Riri….
Katika ngoma ya Kysha Cole anazungumzia kuhusu usagaji Je ndo sababu ya kuachana na Daniel Gibson, sio kwamba the guy was cheating on her?
