
Safaree anatakiwa siku moja aache haya yote yapite, Safaree ni mpenzi wa zamani wa Nicki Minaj, Lakini Safaree bado anampiga madongo kibao Nicki Minaj, anaendelea kusema kwamba ameandika karibu nyimbo zote za Nick Minaj.
Acha yote kama aliandika au hakuandika, haonekani akiendelea kuandika mashairi mengine makali au afanye hit song yake. Nicki Minaj ameshinda tuzo ya “Favorite Rap Artist” na “Favorite Rap Album” kwenye tuzo za mwaka 2015 za American Music Awards na Safaree hakutaka hilo lipite kavu kavu akatweet hivi:
