Katika kuadhimisha na kusherehekea siku ya wanawake duniani kesho tarehe 08/03/13 Kituo Cha Radio Magic Fm cha Dar Es Salaam kitarusha matangazo yake huku watangazaji wakiwa ni Watangazaji wanawake watupu kuanzia asubuhi mpaka jioni kama isivyokawaida.
Wafahamu Watangazaji Wanawake watakao piga kazi kesho siku nzima kuonyeaha uwezo wa mwanamke.
Salma Msangi (my Self)
Mishi Bomba
Fina Mango
Upendo Msuya
Merry Edward
TTTTTTTTTejay (Mtoto Mzuri)
Magic Fm inapatikana mikoa ya Arusha 98.6, Mwanza 101.7, Dodoma 93.3, Dar Ea Salaam 92.9. Lakini pia tunapatikana kwa Satellite Nchi Nzima.
FURAHIA UWEZO WA WANAWAKE#MAGIC FM NASIKIA RAHAAAAAA
2 Comments
daaaah big up magic fm tumepiga hatua legooooo happy womans day…..to alll
kwa kwel ilipendesa sana mmetishaa….big up kimora