HUU NDIO WIMBO ULIOMCHELEWESHA MANGEWA KURUDI TANZANIA TOKA AFRIKA YA KUSINI BAADA YA MSANII
MBONGO MUSSA AKA MORSSED ANAYEISHI NCHINI HUMO KATIKA MJI WA KIMBERLY KUMUOMBA ASUBIRI ILI WAFANYE COLABO YA WIMBO HUU KABLA HAJARUDI NYUMBANI TANZANIA
WIMBO UNAITWA PHUZA, NI MORSSED FT MANGWEA NA HUO NDIO WIMBO ALIOUFANYA MUFA MFUPI KABLA YA MAUTI KUMFIKA… HAPA NDIO UTAPATA SAUTI YA MWISHO YA MANGWEA