
Licha ya kuvaa suruali kubwa kuliko pamoja na kuwahi kuvunja choo cha kukalia baada ya kukaa juu ya choo hicho mwana mama Sarah Massey mwenye umri wa miaka 33 mkazi wa Chikago Marekani anajivunia kuwa na mwili huo.
Sarah ni mama wa watoto wawili ana upana wa futi 7 ambao unampa tabu hata ya kuingia baadhi ya milango..Sarah ana kilo 201.6.
