Wabunge nchini Ukraine warushiana ngumi baada ya kutoelewana kuhusu matumizi ya nguvu yaliyotumika na vikosi vya nchi hiyo kuwakamata wanaharakati 70 wanaoiunga mkono Urusi..