
Tiny aliulizwa kama akaipata nafasi ya kumaliza tofauti yake na Mayweather, Tiny alisema ndio kuna tumaini tarifa ya TMZ zimeeleza
Tiny na T.I na Mayweather walihusishwa katika ugomvi unaoendelea ambao ulihusisha na Mayweather, baada ya Tiny kumtukana Floyd katika red carpet ya BET mwaka huu na baadae Mayweather akiongea na waandishi wa habari alipoulizwa vipi kuhusu T.I akasema laitembea na mke na baadae akakanusha hakusema hivyo, lakini Tiny mke wa T.I amsema kuna nafasi ya kumaliza yote hayo yanayoendelea.
Tiny alikuwa akitembea uku akimuacha muandishi anayemuhoji akiwa ameweka mikono yake juu huku akisema “Hopefully”
