
Nas akiendelea kusherekea miaka 20 toka alivyoachia albamu yake ya “Illmatic”, Nas ametangaza tour yake ambayo imepangwa pia kuonyeshwa filamu wakati wa performance, filamu hiyo inaitwa Time Is Illmatic.
Albamu hiyo inatarajia kuanza Kaskazini mwa Marekani Octoba 2 huko Rochester, New York na inatarajia kumalizika Octoba 19 huko Oakland California.
Filamu hiyo ya Time Is Illmatic imepangwa kuonyesha sehemu mbalimbali kwenye tour kabla hajaanza kuperform ngoma za Illmatic.
Filamu hiyo itakuwa itaanza kupatikana Octoba 2 huko New York na miji mingine inayofuata, taarifa kwenda kwa waandishi wa habari ilieleza.
Pia filamu hiyo itapatikana kwenye itunes Octoba 3. Mpaka sasa kwa mwaka huu tumeshasikia tour kibao za wasanii wa Marekani ya Wiz Khalifa ambayo Tyga aliitosa, Ya Jay Z na Beyonce, Drake na Lil Wayne, Rihanna na Eminem na sasa ni Nas…Kibongo bongo inakuwaje tujasikia Tour ya wasanii kama wasanii ni matamasha tu!! Tatizo ni nini?
Hizi ni tarehe na miji ambayo Illmatic Tour itaenda.
*Will not be screening Nas: Time is Illmatic
Oct. 2nd Rochester, NY Main Street Armony*
Oct. 3rd Albany, NY Palace Theatre
Oct. 4th Washington D.C. Lincoln Theatre (Matinee)
Oct. 5th Glenside, PA Keswick Theatre
Oct. 8th Toronto, ON Queen Elizabeth Theatre
Oct. 9th Detroit, MI The Fillmore Detroit
Oct. 10th Hammond, IN Horseshoe
Oct. 11th Lincoln, NE Bourbon Theatre*
Oct. 12th Denver, CO Paramount Theatre
Oct. 15th Seattle, WA Moore Theatre
Oct. 16th Vancouver, BC Vogue Theatre
Oct. 17th Las Vegas, NV The Cosmopolitan of Las Vegas*
Oct. 18th Los Angeles, CA Orpheum Theatre
Oct. 19th Oakland, CA Fox Theater
