Mke wa Wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda ndie mgeni rasmi katika siku ya wanawake ( Woman Celebrations) itakayofanyika mwezi wa tatu tarehe tatu juma pili hii katika ukumbi wa Diamond Jubilee
Natumai una kivazi chako tayari na ticket yako mkononi tayari kuserebuka na wanawake wenzio
SIKU YETU! SHUGHULI YETU!! KWA RAHA ZETU. Ndio mpangoooo.
Meet you there
1 Comment
fatimagarden court south beach 2slp 6-9april R2700durban spa 4 and 6 slp 9-13 april R3000margate 4slp 6-9 april R4000suncity 6slp 9-13 april R3600durban spa 6-9april 4slp R5000Fro all your holiday bkngiooz contact me for gr8 deals on 0786354526my pin:2756131e