Habari za kusikitisha ni kwamba Twenty Percent Amefiwa na Baba yake mzazi Mzee Khamis Kinzasa Jana Jumapili Nyumbani kwao Kimazichana ambapo taarifa ni kwamba atazikwa leo Saa Saba Mchana
Ni wiki tu sasa tangu Msanii Twenty Percent aweke mambo sawa ba Producer wake wa kitambo Mn Water, Imekua Vizuri kwa msanii huyo kwani Ameweza kumfanya Mzazi wake Huyo kushuhudia Jambo jema kwa mwanae kabla ya mauti Kumkumba.
Mungu ampumzishe Mzee Kinzasa mahali pema peponi na InShaAllah Ampe Nguvu Msanii twenty katika kipindi hiki kigumu na InshaAllah iwe mwanzo wa mafanikio Bora tena kwakwe