Umoja wa katiba ya wananchi bungeni [UKAWA] wametoka nje ya ukumbi wa bunge na kuacha mkutano wa bunge maalum ukiendelea kwa madai ya kutoridhika na uendeshaji wa bunge hilo pamoja na baadhi ya viongozi kutoa vitisho kwa wajumbe vinavyolenga kuleta ubaguzi kwa watanzania.
Baadhi ya wajumbe hao wakitoka nje ya ukumbi wa bunge hilo huku wakiimba nyimbo zinazolenga kuonyesha kutoridhika na uendeshaji wa bnge hilo na vitisho na kupinga baadhi ya propaganda zinazofanywa na wananchi.