Utafiti unaonesha mataifa yanayoendelea sasa yanakabiliwa na tatizo la unene.
Takriban watu bilioni moja, Mara nne zaidi ya ilivyokuwa mwaka 1980 We upo katika kundi gani?
Inatajwa kati ya watu watatu mmoja ni mnene kupita kiasi,
Madhara mengi hutajwa kwa watu wa namna hiyo ikiwemo Kisukari, presha, kiharusi Nk
Nchi hizo zimeonelea kuongeza kodi kwenye vyakula vinavosababisha Unene
Unaonaje hapo?