
Itakua ni usiku wa Nyekundu pale Serena ikiwa ni onyesho la tisa tangu kuanzishwa kwake. Mimi ni moja kati ya waasisi naweza kusema. Nimekua mc wa onyesho hili hii itakua ni mara ya nne. Onyesho la kwanza kabisa nili host nikiwa na Jimmy Kabwe kipindi hicho Serena pakiitwa Sheraton. Jokate tulikutana nae katika onyesho hili Kilimanjaro Kempisk na tulihost pamoja. Historia inajirudia tena lakini kwa sasa likiwa ni hapo Serena Hotel.

Hapa nikiwa na Jimmy Kabwe hosting Lady in Red Fabak Fashion kipindi cha nyuma sana. Ni zaidi ya miaka nane sasa.

Hapa ni miaka mitatu nyuma nafkiri wakati Lady In Red ilipofanya onyesho lake Kilimanjaro Kempisk sasa hivi Hyatt Regency Kilimanjaro. Kushoto ni mwanamitindo Ally Remtula mimi katikati na Asia Idarous wa Khamsini ambaye ndio mmiliki wa Onyesho hili. Nikipata maelezo kabla ya show kuanza.
online canadian pharmacy viagra – generic cialis online – nabp certified canadian pharmacy – viagra no

1 Comment
Wewe mambo iko huku