Watu wengi wamekuwa wakimuita King of beef kiongozi wa G.Unit kuna uvumi kwamba kuna mipango inaendelea na big nation, hizi ni taarifa zilizoenea kwenye mitandao, Inaonekana kuna deal kubwa inayoihusu G.Unit ya dola milioni 300.
Story hii inaonekana kama ilianzia kwenye site ya 50 cent inayoitwa Thisis50.com na iliendelea kusambaa sehemu mbalimbali .
Lakini mpaka sasa haijulikani kama ni kweli lakini labda kuna uwezekano kwa sababu ya kurudi kwa G.Unit kwenye game.
Laakini 50 cent anapata mkwanja kutoka kila mahali kuna deals ambazo anazifanya duniani kote pia, na albamu nyingine inafuata siku za karibuni…
hii deal bado ni chini ya carpet kwa sababu 50 cent mwenyewe bado hajafunguka akifunguka utapata hapa hapa kwenye salmamsangi.com….So…don’t get twisted.