
Christina Milian anaweza akawa anaoyesha ni kiasi gani anampenda Lil Wayne na bado anaendelea kumtega baada ya kuvaa kipens cha hatari. Kuna picha ambazo ameonekana Christian Milian akiwa amevaa pens kwenye picha zilionekana kwenye tovuti ya Allhiphop.com huku akiwa amenyoa ukiangalia vizuri amechora N na T ukiangali haraka haraka unajua amemaanisha Tunechi na pia caption aliyoandika unaelewa mpango mzima what she meant!!
Wawili hao wamekana kuwa wapenzi, wamekuwa wakionekana pamoja sehemu mbalimbali mara kwa mara mwishoni mwa wiki chache zilizopita.
Waendelee kukataa tu lakini siku moja itafahamika tu kwa sababu mapenzi ni kikohozi kuyaficha huwezi itafamika tu!! Ipo siku.
