Mshindi wa tuzo ya MTV MAMA, “Number One” singer, Diamond Platinumz hivi karibuni anategemea kuwa baba kutoka kwa kipenzi chake Zari Hassan, katika maandalizi ya kumpokea mtoto wao ni pamoja na kuandaa chumba cha mtoto wao, hapa ameshare na fans video ya chumba cha their coming baby…..