Ile kauli iliyomponza Msanii Ommy Dimpoz ilitokana na Risala yake ndefu aliyoitoa siku ya Tuzo Za kilimanjaro wakati anapokea tuzo moja wapo kati ya zile tatu alizochukua sikuhi… Inawezekana Kauli yake Hiyo ilitafsiriwa ndivyo sivyo ama sivyo ndio.
Omary Nyembo au Ommy Dimpoz kama anavyofahamika zaidi anasemwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa alimtusi msanii mwenzake ambaye ni marehemu kwa sasa Albert Mangwe kuwa Yeye hawezi kufa masikini Kma alivyokufa Mangwea?
Sasa kauli hiyo inasemekana kutokana na kauli yake hii hebu tuitazame tuone kweli alimaanisha kilichoandikwa?