
Kibaka Huyu Noma, imetokea Brazil, Amefanya jaribio la kumpora Cheni wanamke aliyekuwa anahojiwa kwenye TV,
tukio linaonekana wakati mtangazaji akitafiti juu ya vitendo vya uporaji vilivyokithiri nchii Brazil .
Hata hivyo kibaka huyo hakufanikiwa kuichoropoa Chei Hiyo
