
Hivi ndivyo Ndege 214 boeing 777 mali ya Korea ilivyolipuka ikiwa inatua katika uwanja wa ndege kimataifa wa wa San Francisco Nchini Mrarekani Siku ya juma mosi ikiwa na abiria 300 na kuua Abiria vijana wawili huku 46 wengine wakiwa mahututi Hospitali.
Serekali ya South Korea imesema Ndege hiyo iliyokuwana abiria 141 Chinese, 77 South Koreans,16 Americans, watatu Canadians, watatu kutoka India, mmoja Japanese, mmojaVietnamese na mmoja kutoka ufaransa, huku uraiya wa wengine watatu waliobakia ukiwa bado haujatambulika
Na pia ndani yake palikuwa na wanafunzi 70 wa kichinese na walimu ambao walikuwa wakielekea marekani katika kipindi hiki cha chajira ya joto kwa ajili ya mambo yao ya kishule
Hata hivyo Raisi wa South Korea Yoon Toung-Doo amesema itachukua muda kufanya uchunguzi na kutoa majibu ya chanzo cha ajali hiyo kutokana na kwamza ndege hiyo haikuwa na tatizo lolote la kiufundi wala haikuonyesha dalili zozozte za matatizo na ni ndege ya uhakika ambayo ilinunuliwa mwaka 2006 na ni ndege ambayo bado ilikua na muda wa miaka mingi tu kuendelea kufanya kazi
Abiria wanasema hapakua na ishara yeyote ya tatizo na hata ilipokua inatua kama ilivokawaida wahudumu waliwasihi abiria kufunga mikanda na kujiandaa tayari kwa kutua bila kutoa taarifa zozote za tahadhari
Airport spokesman Doug Yakel said 49 people were critically injured and 132 had less significant injuries.
Hizi ni baadhi ya picha jindi tukio la kulipuka kwa ndege hiyo kulivyojitokeza
