Hivi ndivyo waumin wa Shia Katika Moja Ya Madhehebu katika dini ya Kiislam Walivyoazimisha siku ya Ashura ikiwa ni kumbukumbu ya kuuwawa kikatili Imam Hussein ambaye ni Mjukuu wa Mtume muhammad (S.A.W)
Siku hii huadhimishwa kwa waumin wa Shia ambao wengi wao ni watanzania wenye asili ya Asia kwa kutembea barabarani kusoma Dua Hadith na kukumbushana kutenda yale yalio mema
Lakini kuonyesh Iman zaidi waumini hawa hujipiga vifua vyao kwa nguvu kuashiria maumivu na hisia kali katika kukumbuka tukio hilo la kuteswa kwa Imam Hussein
TAZAMA PICHA