
Hawa ndio washiriki feki watakaoingia katika jumba la big brother siku ya ijumaa baada tu ya mchezo wa Air tell Arena wakati nyumba ya Diamond na Ruby zitakapoungana na kuwa nyumba moja kwa maana washiriki wote waliosalia wataishi pamoja katika siku zilizobaki ndani ta nyumba hiyo, sasa ili kunogesha mchezo Big brother ameunda Washiriki feki kutoka nchi tofauti ili kuwachanganya washiriki halali ambao ni kutoka nyumba ya Diamond na Ruby.
Washiriki hawa feki wanaaminiwa na nyumba hizo mbili kuwa nao walikuwa kwenye nyumba ya Emeralds ambapo nao wapo kwenye
mchezo kama walivyo wao jambo ambalo si kweli bali ni kuwavuruga tu. watazamaji hawatawapigia kura washiriki hawa feki.
Jj, Zimbabwe
Sofi Uganda
Bisi, South Africa
