
Kim Kardashian na Paris Hilton wamekuwa marafiki tena baada ya beef yao ya siku za nyuma, Kim K alipot picha wakiwa pamoja na Hilton kwenye ukurasa wake wa instagram akiwa ameandika “”Reminiscing about the 1st time we went to Ibiza in 2006! @parishilton it was so good to see you & catch up!! Loves it lol”
Wawili hawa walikuwa marafiki sana na katika video iliyoonekana TMZ ilitazamwa sana baada ya Paris kuonekana na rafiki yake wa zamani Kim ambao hawakuona pamoja kwa siku nyingi hata kama walikutana katika matukio mbali mbali yaliyokuwa yakifanyika siku za karibuni kutokana na beef lao hilo.
Lakini Kim Kardashia amejulikana zaidi ya Paris na urafiki wao ulipotea, mwaka 2008 Paris alimuua Kim wakati akifanya mahojiano na kituo cha redio na kusema makalio ya Kim K yanaonekana kama kitu kilichobebwa kwenye bag la uchafu” . Wakati hao wakipatna kwa nyumba alikuwepo Tara Reid ambae pia ni adui wa Paris alikuwa akiangalia na yeye bado tumaini lipo ipo siku watapatana. Kwa sababu wagombanao ndio wapatanao.
