Baadhi ya watu wamejitokeza na kumfariji Wema Sepetu Baada ya kuamua Kufunguka Kuhusu uhalisia wa maisha yake hasa katika upande wa Drama za kimapenzi unaoendelea Baina Yake na aliyewahi kuwa Mpenzi wake Diamond na Penny ambaye ndio mpenzi mpya Wa Diamond.
Na hiki ndicho alichokiandika Kupitia ukurasa wake wa Instagram mlibwende huyu anaeitikisa bongo sasa hivi kwa mkwanja mrefu mandinga na maisha ya aina yake anayoishi huku watu wakibaki kujiuliza Anatoa wapi Pesa hizo.
Baada ya hayo! Baadhi ya watu waliingiwa na huruma na kumpa moyo kupitia mitandao ya kijamii akiwemo Mange Kimambi aka mama Bongolicious Mdada anaemiliki Blog ya U-turn yenye wasomaji wengi wanawake makazi yake yakiwa Nchini Marekani
Haikuishia hapo kwani mwana dada mwingine anaemiliki Mtandao wa Jestina George kupitia Blog yake nae aliandika hivi katika kuungana na kumpa moyo Mdafada huyo Wema Sepetu
1 Comment
I didn’t read the whole thing so I wouldn’t blame you if you cellad me a lazy-ass American (cuz I kinda am). XD But I LOVE Asian guys, Asian food, Asian comics, Asian clothes, and anything else Asian. Heck, I’m TRYING to be Asian. :> But the guy in the picture at the top of the entry is kinda ugly. O_O And yay first comment on this entry!